Mwenyekiti wa Halmashari ya wilaya ya Singida Mh Elia Digha akifunga kikao cha balaza la madiwani cha kawaida kilicho fanyika katika ukumbi wa Ofisi za Halmashari ya wilaya ya Singida. |
Watendaji wa
ngazi mbalimbali katika halmashauri ya
wila ya Singida wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo ukusanyaji wa mapato ilikuweza kufikiasha kiwango kilicho
kusudiwa.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa baraza la madiwani
mwenyekiti wa halmashauri hiyo Bw, Elia digha
Amesema tayari kwasasa halmashauri imekusanya mapato
kwa asilimia siti na moja suala linalo ashilia kufikia asilimia miamoja ya
ukusanyaji wa mapato.
Bw, Digha amesema kila mtu kwa eneo lake akikusanya
mapato kama inavyo takiwa itasaidia halmashauri kutenga asilia kumi zinazo
takiwa kutengwa na kila halmashauri bila tatizo lolote.
Katika hatua nyingine Bw, Digha amesema kwasasa
halmashauri inategemea kuanzisha chanzo kimpya cha matao kutoka katika mji mpya
wa uwekezaji amcho kitakuwa chanzo kikubwa cha mapato kuliko vyanzo vyote vya
halmashauri hiyo.
Awali akiongea mkuu wa wilaya ya Singida Bw, Elias
John Tarimo amewataka wataalamu mbalimbali kuhakikisha wanasimamia miradi
mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo
ya.
Amesema ujunzi wa miradi chini ya kiwango inachangia
kwakiasi kikubwa kuleta hati chafu katika halmashauri.
0 Comments