HATIAME OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI ZA FUNGULIWA

M/kiti wa chama mkoa wa Singida akifungua ofisi za chama rasimi

Bendela ya bunge kuanza kupepea jimboni hapo baada ya shuguli za chama cha mapindizi CCM kuamia katika mji mdogo wa Irongelo baada ya muvutano mkali ndani ya chama juu ya wapi pawe makao makuu ya wilaya ya Singida,


























Mbundge wa Jimbo L singida mjini na Mwenezi mkoa wa Singida akipokea zawadi ya mafuta.


Mbunge wa jimbo hilo Mh Lazaro Nyalandu akisisitiza jambo mbele ya madiwani







kikombe cha mbuge kikionyeshwa mubashala na m/kiti wa chama mkoa Mh Matha mlata


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments