Naibu waziri wa kilimo Dr Marry Mwajelwa akitia sahini kitabu cha wageni katika kiwanda cha pamba cha Biosustain (T) Ltd Singida mijini |
Pamoja na serikali kuhamasisha wakulima mkoani Singida kulima zao la kibiashara la Pamba changamoto kubwa iliyojitokeza ni wadudu kuvamia zao hilo huku kampuni ya Biosustain (T) Ltd ambayo ni mnunuzi mkuu wa zao hilo katika ukanda huu wa kati na ziwa ikijitalibu kuokoa uvamizi huo kwa kupeleka wataalu ili kudhibi ualibifu huo.
0 Comments