Omary kinyeto Diwani wa kata ya kindai |
Wambele ni meya wa manispaa ya Singida Mh Mbua chima |
Madiwani wa Singida Dc wakiwasili uwanjani Namfua |
Meya wa manispaa ya singida Mh Mbua chima akisalimiana na diwani wa Singida Dc kabla ya mchezo baada ya kuwasili |
Mbunge wa Singida mjini Mussa sima akiingia Namfua |
madiwani wa manispaa Singida |
madiwani wa Singida Dc |
mchezo huo ulimalizika kwa madiwani wa manispaa ya Singida kushinda 1-0 |
kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo. |
0 Comments