MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA COPA COCA COLA KITAIFA NAMFUA SINGID




Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akihutubia katika uzinduzi wa COPA COCA COLA  kitaifa mjini Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Namfua.
Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo akitoa neno kabla ya mgeni rasimi kuongea .




Timu ya wanawake ya sekondari ya Dr Salimini ya mjini Singida
Timu ya wanawake ya shule yasekondary Mandewa.

 

Dr Nchimbi Akizindua mashindano hayo ya Shule za sekondary UMISETA COPACOCA COLA kwa kupiga mkwaju wa penati.



Mdhamini mkuu wa mashindano hayo COCACOLA wakimkabidhi zawadi ya mpira mgeni rasimi Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments