Meneja wa mamlaka ya mapatoTanzania TRA mkoa wa Singida Bw Apily Mbaluku akifafanua jambo ofisini kwake mjini Singida. |
Wamiliki wa majengo mkoani Singida wametakiwa
kuhakikisha wanalipa kodi ya majengo yao mapaema ilikuweza kukwepa usumbufu wa
kupanga mistali kwaajili ya kulipa kodi hizo.
Akiongea na standard redio ofisini kwake meneja wa
mamlaka ya mapato Tanzani TRA bw, Apili Mbaluku amesema mwaka jana ilileta
usumbufu mpa serikali kuwaongezea muda ambapo kwa mwaha huu muda huo
hautaongezwa.
Amesema jingo linalopaswa kulipiwa kodi nilili
ambalo limekamilika na watua wanaishi huku akiongeza kuza kuwa kwa wale
wanaoishi nyumba za tembe hawalipii kodi hiyo.
Bw,Mbaruku amesema majengo ambayo hayajafanyiwa
uthamini ni elfu kumi kwa nyumba ya kawaida na gorofa ni elfu 50 kila floo moja.
Ammesema kwa mwaka wafedha 2017/2018 wamepangiwa
kukusanya milioni miatano kutoka katika kodi ya mapango mpaka kufikia tarehe 30
mwezi wa sita ambapo mpaka hivi sasa wamekusanya milioni miambili.
Katika hautoa nyingine ameomba wananachi kuacha
kuchanganya kati ya kodi ya aridhi ambayo inatakiwa kulipiwa halmashauri na ya
majengo ambayo inalipiwa TRA.
0 Comments