PICHA NA MATUKIO MBALI MBALI YA JUMA LA ELIMU KITAIFA MKALAMA -SINGID

Jamii ya kabira la Kihazabe wakicheza ngoma ya asili baada ya kutembelewa na ujumbe kutoka mtandao wa Elimu nchini Ten Met
Ni katika shule ya msingi Nyihaa  ni moja ya shule tatu nchini zilizoshika nafasi ya mwisho katika mtihani wa darasa la saba 2018 baada ya kutembelewa na Ujumbe kutoka Ten Met ili kujua ni kwanini shule hiyo ilifanya vibaya .

Afisa Elimu wa shule msingi wilaya ya Mkalama Bw Chacha Jelome akimuamulu mtendaji wa kata ya Mpambaa kijiji cha  Nyihaa  kuakikisha anampeleka shule mtoto Saida Jimisha Midaya baada ya kukumkuta akizurula kijijini.
Baada mkurugenzi wa wilaya ya Mkalama Muhandishi Godfray Sanga kupataarifa juu ya Mtoto huyo anayedaiwa kuwa ni  anatoka katika familiya ya ufugaji ya jamii ya kabira la Kisukuma hasomi shule aliwasiliana na Mkuu wa wilaya ya mkalama na kuamulu Mzazi wa mtoto huyo akamatwe na jeshi la polisi na kufunguliwa mashitaka.



Katika Juma la Elimu waka huu mashirika mbali mbali yalitoa elimu kupitia mikutano ya hadhala ikiwemo kupiga vita ndoa za Utotoni kutoka PLAN INTERNATION ya jijini Mwanza.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments