Mkuu wa wilaya mpya wa Singida Bw Pasacas Muragiri akilakiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Singida leo hii katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Singida. |
Bi Rahabu Mwangisa Mkuu wa wilaya ya Manyoni akiapishwa na Dr Rehema Nchimbi |
Aliyekuwa kaimu mkuu wa wilaya ya manyoni Miraji Mtaturu akiongea na Dc mpya wa wilaya hiyo awali Bi Rahabu alikuwa katibu tawala wa wilaya hiyo ya Manyoni. |
Wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi wa katikati. |
0 Comments