Mh Mussa Sima Mbuge wa jimbo la Singida Mjini. |
Diwani
wa kata ya Kindai Manispaa ya Singida Mh Ommary Kinyeto ametimiza ahadi yake
aliyoitoa ya kujenga choo cha waalimu katika shule ya msingi Kindai iliyopo
katika kata ya KINDAI manispaa ya Singida, akingea katika sherehe fupi ya
kukabidhi choo hicha chenye dhamani ya shilingi million 3 Bw kinyeto kwanza
alianza kwa kumpongeza mkuu wa mkoa wa singida Dr Rehema Nchimbi kwa kuwapeleka
madiwani wa manispaa ya Singida mkoani Njombe kutembelea na kujifunza namna ya
ujenzi wa vyoo bora na vya garama nafuu.
Mgeni
rasimi katika maadhimisho hayo alikuwa ni mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh
Mussa Sima ambaye pia alimpongeza diwa huyo kwa ujenzi huo wa vyoo bora huku
akitoa wito kwa wananchi kutumia mvua hizi kwa umwagiliaji.
0 Comments