STEND MISUNA BINGWA WA MKOA WA SINGIDA 2017/18

Stend misuna bingwa wa mkoa wa Singida 2017/18 kwa mwaka wapili  mfululizo ni baada ya kuifunga Town stars ya Iramba mchezo uliyochezwa katika dimba la Jumbe wilayani Manyoni mgeni rasimi mkuu wa wilaya hiyo Godfrey mwambe .
Mabingwa wa mkoa Stend misuna wakipiga jalamba kabla ya mchezo wa mwisho mchezo uliyomalizika kwa timu ya Town Stars kutoka wilayani Iramba kumpiga mwamuzi Sara Bongi na kumsababishia maumivu makali pamoja na kishonwa nyuzi 4.
                                       



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments