TRA Singida |
Meneja wa TRA mkoa wa Singida Godfrey Msangi |
Wafanya biashara mkoani Singida wameendelea
kupongezwa kwa ushirikiano wanaoonyesha kwa mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa
wa singida huku wakijitahidi katika
suala la ulipaji kodi ambapo wameonekana kulipa kwa kiwango chote kadri
wanavokadiriwa.
Amesema kuwa pamoja na kuwa na mkakati kazi
changamoto kubwa ni wananchi hawapendi kutumia mashine za EFD lakini TRA
imejipanga kukagua biashara zao mbalimbali ili kuhakiki utumiaji wa EFD kwa kupita nyumba kwa nyumba.
Katika kuonyesha kuwa kila mfanyabiashara au matanzania anatakiwa kulipa kodi ofisi ya meneja wa TRA mkoa Singida muda wote milango ya meneja wa TRA mkoa Godfrey msangi ipo wazi muda wote wa kazi.
|
0 Comments