DIWANI WA KATA YA KINDAI MANISPAA SINGIDA ATUMIA ZAIDI YA MIL6 KWA SHUGHULI ZA KIJAMII

Diwani wa kata ya Kinadi Mh Ommary Hamisi Kinyeto akiongea na wananchi wa eneoa la Nyanza kata ya Kindai manispaa ya Singida ikiwa ni ziala maalum ya kusikiliza matatizo yao na kutatua.



Mzee maalufu wa eneo hilo la Nyanza maalufu mzee maeleni akiuliza swali kwa Diwani wa kata hiyo juu ya wazee kutosikilizwa na viongozi wa katahiyo

pamoja na kuongea na wanachi Mh Ommary alitoa viti 100,saani na vikombe  300 na matulubali kwaajili ya shughuli za kijamii vyenye dhamani ya zaidi ya mil 6, vifaa hivyo vitatumika katika shughuli mbali mabali ikiwemo misiba sherehe mikutano n.k bure kwa wakazi wa eneo hilo la Nyanza.




wakipozi baada ya kukabizi viti mbele ya mtendaji wa kata wakwanza kushoto.


kinamama wa Nyanza wakifulaia jambo.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments