SHEHENA YA VIROBA YASALIMISHWA POLISI SINGIDA


Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya matukio ya ujambazi Wilayani manyoni na kusalimishwa kwa Viroba na msamalia mwema kutoka Irongelo.









Watu watatu wanashikiliwa  na jeshi la polis mkoani Singida kwa tuhuma za kumiliki silaha aina ya gobole zilizotengenezwa kienyeji ambazo zilikuwa zinatumika katika shughuli za kuihalifu katika maeneo mbalimbali ya wiala ya manyoni.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments