michezo mingine ya ndani iliyokuwepo ni kulusha kisaani na kuluka chini. |
wanahabari wakiongea na makamu wa pili wa RT Bw Hamadi Mdee |
Amani Mwaipaja mkurugenzi wa Taasisi ya TANZANIA SPOTS CONNECTION AND EVOLUTION akiongea na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mashindano hayo na kubaini mapungufu ikiwemo uhaba wa vifaa. |
0 Comments