JUMLA YA WANARIADHA 36 WATASHIRIKI MASHINDANO YA RIADHA U17 MKONAI SINGIDA

Katibu wa chama cha riadha mkoa wa Singida Benno msanga  akiongea na waandishi wa  habari.

Maandalizi ya mashindano ya riadha ya vijana u17 yatakayo fanyika 4/3/2017 mkoani Singida katika viwanja vya shule ya sekondari ya Mwenge yamekamilika hiku vijana 36 kutoka mkoni singida wamejitokeza kushiriki katika kutafuta wanariadha watakao wakilisha taifa.

Mkuu wa idara ya uamasishaji wa chama cha riadha mkoa wa Singida Damiani mkumbo akifafanua jambo juu ya mashindano hayo ya riadha u17 yanayotarajia kufanyika Singida na dar katika kusaka vipaji vya wanariadha chipukizi.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments