STEND MISUNA YATETEA UBINGWA WAKE


Mabingwa wa mkoa wa Singida 2015/16 Stend Misuna (CHAMA LA WABISHI) wameendelea vyema kutetea ubingwa wao wa mkoa kwa kuibuka na ushindi katika mechi ya 3 mfululizo  baada ya kuwachapa Milumba FC bao 3-0 kwenye uwanja wa Jumbe wilayani manyoni, kwa ushindi huo Stend misuna sasa inakuwa na point 9 na magoli 10 ya kufunga.

m/kiti wa chama cha waamuzi manispaa ya Singiad Anord bugado katiki na waamuzi wengine katika uwanja wa Jumbe Manyoni.

Wachezaji wa Stend Misuna wakiwa katika basi maalumu kuelekea mchezoni.




Vyoo vya uwanja wa Jumbe Manyoni


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments