Zaria hamza (30) mkazi wa Kindai na kata ya Kindai
manispaa na mkoa Singida amejifungua mtoto wa kike siku ya feb 19 2017 katika
hospilati ya mkoa wa singida akiwa hana baadhi ya viungo katika mwiliwake ikiwemo
mikono na miguu, binti huyo Amesema kuwa kabla ya kujifungia ma dk walimpima na
kugundua kuaanatatizo katika ujauzito wake ndipo walipomfanyia upasuaji na
kubaini kuwa mtoto huyo anaupungufu wa viungo , baada ya hapo walimtaalifu mama
wa motto huyo Zaria hamza na kumpatia mtoto wake akiwa na kilo mbili.
Mama wa motto huyo anaomba msaada kwa wataalamu
na mashirika mbalimbali kumsaidia mtoto Nadia kupata viungo vya bandia ili
aweze kukaa
0 Comments