CCM MKOA SINGIDA KUWEKA NYASI MPYA NAMFUA



M/kiti wa CCM mkoa wa Singida na mbunge wa Singida Matha Mlata


Baada ya mkurugenzi mkuu wa ufundi wa shirikisho la soka Tanzania TFF Salum madadi kukagua uwamja wa Namfua hivi karibuni na kubaini mapungufu na kuyawasilisha  kwa wamiliki wa uwanja huo CCM, hatimae uwanja huo sasa unaanza kukarabatiwa kuanzia March 6 kwa pich na baadae uzio, hayo yamesemwa na m/kiti wa chama cha mapinduzi CCM wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.
amesema kuwa  mtaalamu amesha patikana na ataanza kazi hiyo jumatatu yani march 6 2017 huku nyasi hizo zikigalimu sh mil 10.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments