|
Mkuu wa wialaya ya Singida Elias John Tarimo akiongea katika siku ya mapinduzi day kwenye zoezi la upandaji miti katika ziwa kindai |
Wananchi wametakiwa kuhifadhi mazingira ya fukwe za
Singidani pamoja na kindai ilikuweza kuweka maziwa hayo katika hali ya usafi ikiwa
nipamoja na kuacha uvuvi katika maziwa hayo.
Kauli hiyo imetolewa leo na mkuu wa wila ya Singida
Bw, Elias John Trimo wakati wa kuadhimisha sikukuu ya mapindiuzi ya zanziba
ambapo maadhimisho hayo yame ambatana na zoezi la upandaji miti,
Bw, Tarimo amewataka wananchi kuhakikisha
wanadumisha usafi katika fukwe hizo ilikuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi.
Amesema katika kipindi hiki cha miezi mitano ambayo
wananchi hawaruhusiwi kufanya shughuli zozote za uvuvi imelenga kuimalisha
maziwa hao na kuongeza samaki kwa wingi.
Sambamba na hayo bw, Tarimo amepiga marufuku mifuko
ya plastiki kutumika katika halmashauri ya manispaa ya Singida kwani mbali na
kuleta athari kwa wanfama inachangia katika uchafuzi wa mazingira.
|
Mgeni rasimi Dc Elias Tarimo akipanda miti |
|
Mh Ommary kinyeto diwani wa kata ya Kindai |
|
Blavo Ryampimbile makurugenzi wa manispaa ya Singida akipanda miti. |
|
Raisi wa FFCC kutoka carfonia Marekani akipanda miti |
|
Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Blavo Ryapimbile akiongea na wanahabari |
|
Makamu wa raisi wa FFCC Mic Kitwaka akiongea na waandishi wa habari. |
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments