Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akifungua semina ya (TAUJA) |
Wanasiasa wametakiwa kutoingila kazi zinazo fanywa na mahakama na mahakimu wakati wakitekeleza majukumu yao ya kwanasheria .
kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa singidaDr Rehema nchimbi wakati akifungua mafunzo ya siku tatu
yaliyoandaliwa na kuratibiwa na chama cha majaji na mahakimu wa nawake Tanzania (TAUJA)
Dr Nchimbi amesema suala la siasa linatakiwa kukaa
pembeni na kupisha taaluma kufanya kazi katika kuhakikisha haki inatendeka.
Amesama makosa yanayohusiana na ukatili, haki,
hayana chama wala siasa yoyote
Amesema ilikuhakikisha haki inatendeka nikuhakikisha
sheria inafuatwa ilikuweza kukomesha vitendo hivyo.
Aloysius Mujuluzi Jaji wa mahakama kuu na M/kiti Tume ya kurekebisha sheria |
Jaji wa mahakama kuu na mwenyekiti wa Tume ya
kurekebisha sheria hapa nchini Jaji
Aloysius Mujulizi amesema suala la unyanyasaji ni janga la dunia kwani
nchinyingi zinakabiliwa na tatizo hilo.
Amesema ilikuweza kuleta usawa umoja wa mataifa
kunamikataba mbalimbali ya sheria ya haki za binadamu ambapo nchi wananchama
wanahimizwa kuzipeleka bungeni ilikuweza kupata hakisawa kote duniani.
Mh Tesha akitoa neno la shukran kwaniaba ya hakimu mkazi. |
majaji,mahakimu,dawati la jinsia, takukulu,mawakili wa aserikali na binafi wakipozi katika picha nje ya ukumbi wa KBH. |
mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema nchimbi akiwasili ukumbini |
wimbo wa taifa ukiimbwa baada ya mgeni rasimi mkuu wa mkoa kuingia ukumbini |
0 Comments