Mambo
sasa ni ya kidijitali na mtandaoni tu. Hata ukitaka kutafuta neno lolote la
kiswahili hauna haja ya kuangalia kwenye kitabu. Kamusi ya kiswahili sasa imo
kwenye mtandao.
Shirika
la uchapishaji la Oxford University Press imezindua kamusi hii ya kiswahili
kama njia moja wapo ya kukienzi kiswahili.
Ili kuhamu zaidi kuhusi kamusi
hii mwandishi wetu Odhiambo Joseph amezungumza na Bw John Mwazemba, Mkurungenzi
mkuu wa Oxford University Press , Africa Mashariki
0 Comments