|
Kushoto ni marehemu Isaack Gamba siku chache kabla ya kukutwa na umauti alipotembelewa na mtangazaji wa Clouds Milrad Ayo nchini Ujerumani. |
|
Hapo alipokuwa nchini katika klabu mpya ya muziki wa frash back jijini Dar es salaam Nyumbani Lounge. |
|
Isaac Ganba akiwa katika studuo za DW wakati wa uhai wake. |
Mtangazaji wa Idhaa ya
Sauti ya Kiswahili ya DW ya Ujerumani, Isaack Gamba amefariki dunia akiwa
nchini humo.
Taarifa za awali
zinasema kuwa Isaac gamba amekutwa na umauti huo akiwanyumbani kwake baada ya
polisi nchini humo kupata taarifa juu ya kutoonekana kazini na kufika nyumbani
kwake na kuvunja mlango na kumkuta akiwa amefariki dunia.
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments