STEND KUU YA MABASI MISUNA SINGIDA MJINI KUZINDULIWA NA MBIO ZA MWENGE JUNE 30 201

Jiwe la msingi likiwa tayali kwa kiongozi wa mwenge 2017 Bw Amour Hamad Amour kutoka Kaskazini Unguja kuzindua june 30, Hivi ndivyo inavyoonekana sasa ikiwayamebaki masaa machache.
Vibanda vya kupumzikia abiria.


Maliwato ya ndani ya stendi hiyo.

Barabara ya Dr Salimini Amour inayoelekea stend ndogo.


Barabara ya kuingia makutano ya barabara ya Arusha na Dr Salimin inayoingia Stend kuu.

Geti la kuingilia mabasi yaendayo mikoani na ndani ya mkoa.

Geti kubwa la kuingilia abiria na magari.

Geti la pembeni litakalo tumika kwa magali na bajaji baada ya kushusha abiria.


Geti lakutokea kuelekea kwenye kituo cha ukaguzi.

Kituo cha Polisi kwaajili ya ukaguzi wa mabasi yaendayo mikoani.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments