Brigedia Generali Ibrahim michael Mhona akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika kiwanda cha Mount meru milis mjini Singida. |
Kulia ni meneja mausiano wa kiwanda cha Mount meru mjini Singida Bw Nelson Mwakabuta akiwatembeza maafisa hao wa jeshi. |
kushoto ni mwanahabari na mmiliki wa blog Cales Katemana hii ya katemana1.blogspot.com. |
Jumla ya maafisa wa jeshi 35 kutoka umoja wa jumuiya ya afrika mashariki na kati wanafanya ziara ya mafunzo mkoani hapa.
Wanajeshi hao wamefika katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa
Singida na kufanya mazungumzo huku wakielezea lengo kuu la ziara yao.
Aidaha mafunzo mkuu
wa mafunzo brigedia jenerali Ibrahim
Michael Mhona amesema kuwa lengo la ni
kujifunza mambo mbali mbali kwa vitendo
baada ya kujifunza kwa nadharia darasani.
Maafisa hao wa ngazi ya juu kutoka chuoa cha maafisa wa ngazi ya juu C.S.C NDULUTI –ARUSHA wanafanya ziara ya
mafunzo mkoani singida kwa kutembelea maeneo mbalimanli ikiwemo Stendi kuu ya mabasi ya Misuna,ofisi ya Manispaa,kiwanda cha kusindika mafuta cha Mount Meru na kuelekea wilayani Manyoni kuangali shughuli mabali mbali za kiuchumi.
0 Comments