KUMBUKUMBU YA KIMONDO KILICHO ANGUKA KUTOKA ANGANI 1987 SANZA MANYONI.


Nikisema kimondo ni zile nyota zinazo onekana angani zikiwaka wakatimwingine zinakuwa kama zinadondoka chini kiwashili zinaitwa KIMONDO, mwaka 1987 wilayani Manyoni ilianguka moja katika kijiji cha Sanza maala ambapo mwaka huu mwenge wa uhuru ulipokelewa kutokea mkoa wa Dodoma tukapata fulsa ya kutembelea na kukuta jiwe gumu kama chuma likiwa limeanguka pembeni mwakanisa Katoriki.

Mwenye kofia ni mkurugenzi wa wilaya ya Singida Rashidi Mandoa Leonard Manga TBC.
Kimondo

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments