Naibu waziri wa muungano na mazingira na mbunge wa jimbo la singida Mh Mussa sima akimsikiliza mama mmoja aliyetaka kumwambia jambo kwa faragha baada ya kuwasili. |
Kulia ni katibu wa chama wilaya ya singida mjini Chief Yaledi katikati ni mwenyekiti wa chama manispaa. |
Mh Sima akicheza ngoma ya asili ya kinyaturu na kinamama kama ishara ya tambiko la kumuombea kheri pembeni (suti nyeupe ni meya wa manispaa Mh Bua chima) |
Chief Yaledi katibu wa chama wilaya ya Singida mjini Chief Yaredi akifanya utambulisho. |
Mh Sima akifafanua namna serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza irani ya chama kwa kujenga zahanati na mashule ikiwa ni mpango mkakati wa kukuza elimu. |
Mzee wa miaka 102 alipata fulsa ya kumuuliza swali juuya mazingila na kujibiwa na mbunge |
Pia Mh Sima alikabidhi vifaa vya michezo chezi na mpira ikiwa ni maandalizi ya Sima cup ngazi ya kata na baadae majimbo mpaka mkoa yatakayo fanyika hivi karibuni. |
0 Comments