CCM WILAYA YA SINGIDA MJINI WAMUENZI BABA WA TAIFA KWA USAFI HOSPITALI YA SOKOINE SINGIDA

Mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi CCM Singida mjini Bi Lucy Andara na  naibu meya Yagi Kyaratu wakiongoza usafi katika Hospitali ya Sokoine.

Mh Kisuke diwani wa kata ya misuna akiongoza madiwani na viongozi mabali mbali wa chama na serikali katika usafi huo. 


Baada ya kufanya usafi huo pia walitembelea wagonjwa na kutoa misaada katika wodi ya wazazi .


Pia walipata fulsa ya kujionea namna Hospitali hiyo ilivyoweza kupata vifaa kutoka serikali ya awamu ya 5 ikiwemo vifaa vya upasuaji picha na mgaga mkuu wa Hospital hiyo akitoa maelezo namna vifaa hivyo vinavyo weza kufanya kazi.

Mashine ya kisasa ya kuongeza oxigen wakati wa oporation.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments