Katibu wa CCM Singida mjini Chief Yared akijaribu kuokoa jaazi katika mchezo huo maalum wa kumuenzi baba wa taifa Baina ya madiwani wa manispaa ya Singida na makatibu wa chama katika dimba la Namfua. |
Diwani wa Kisaki akimtoka katibu wa kata ya misuna kwa kasi huku akiwa katika ulizi mkali. |
Chief Yared akiutoa msaada baada ya kuona diwani wa kisaki jezi ya blue akileta madhala lkuelekea langoni kwao. |
kocha wa timu ya makatibu akitoa maelekezo kwa timu yake pamoja na kichapo cha 8-1. |
Benchi la ufundi la waheshimiwa madiwani wa manispaa. |
Kocha mkuu wa madiwa naibu meya Mh Bi Yagi kyaratu akishangilia bao la 5 |
Mwenezi wa CCM wilya ya Singida aliyeshika kiuno Bw Shakarata akifuatilia mchezo. |
0 Comments