Wabunge wa Singida wakiwasili katika viwanja vya daraja Sibiti. |
Asubui na mapema wanachi walifulika katika mpaka huo unaotenganishwa na Mto Sibiti. |
Ngoma ya asili ya kabila la Wasukuma ikichezwa na wazee wa kisukuma sambamba na mbunge wa Iramba Mh Mwigulu Nchemba. |
Mh Kingu Mbunge wa Ikungi akimtunza Queen Elizabeti Banda Kutoka Simiyu wakati akitoa burudani. |
Mh Raisi Dr John Pambe Magufuli akiongoza kuelekea kuweka jiwe la msingi baada ya kuhutubia wananchi. |
Raisi Dr John Pombe Mgufuli akikata utepe baada ya kuweka jiwe la msingi. |
Baada ya kuchukizwa na ucheleweshwaji wa ujezi huo wa daraja rasi Dr John pombe magufuli aliongea mbele ya adhala na wakandarasi hao kutoka china. |
wanahabari wakipata picha na afisa habri wa Ikulu Galson Msigwa . |
0 Comments