MAHUSIANO BAINA YA TAASISI ZOTE NI MUHIMU DC MURA



Mh Kimambo akichangia hoja katika baraza la madiwani wa manispaa ya Singida ni katika kikao cha kawaida hivi karibuni.
Mh Diwani wa kata ya Utemini Mh Kimario akitoa hoja juu ya Eneo la uwanja wa ndege uliyopo pembezoni mwa makazi ya wanachi.
Meya mstaafu na Shehk wa mkoa wa Singida Mh Mahame akitoa ufafanuzu juu ya hitoria ya Manispaa ya Singida.
Mkuu wa wilaya ya Singida Pascas Muragili akiongea na madiwa katika kikao chake cha kwanza baada ya uteuzi wa Raisi Magufuli.

ILI kufanikisha mambo mbalimbali ya kimaendeleo katika utendaji wa kazi za kila siku za Serikali Wilayani Singida, suala la mahusiano mazuri baina ya taasisi zote limetakiwa kuimarishwa, ikiwemo kuepuka migongano ya kimaslahi.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Pascas Muragili, wakati akiongea kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani, kilichofanyika katika ukumbu wa Manispaa uliopo mjini Singida, na kusisitiza suala la ufanyani kazi kama timu.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments