Mkurugenzi wa Stanadar Radio 90.1 Bw James Daudi akiongea na mashabiki lukuki waliyo fulika katika dimba la Namfau kushuhudia fainali ya kihistoria . |
Mdau mkubwa wa soka na Mkurugenzi wa Razak Fashio Singida Bw Hassan Mazara mgeni mwalikwa katika Fainali hiyo . |
Mkurugenzi Bw James Daudi akipongezwa na mgeni rasimi Staff one afande Pughe baada ya kuaongea na adhala . |
Kaimu katibu wa chama cha soka mkoa wa Singida Bw James Kitila akiongea machache juu ya mashindano hayo. |
Mkurugenzi wa Standard fm Bw James Daudi akiongea na timu zote baada ya kuzikagua kabla ya mchezo. |
Saulo Stephen sport dr na Emanuel mlelekwa katika chumba cha matangazo live Namfua. |
Wazee wa Standi Misuna Fc wakitazama mtanange huo jukwaani. |
Waamuzi wa mchezo huo Salaa Bongi akiwaongoza waamuzi wasaidizi. |
Washidi wa pili timu ya Ghalinyangu fc kutoka wilaya ya Singida wakipita mbele ya meza kuu. |
Ghalunyangu Fc wakipozzi kwa picha |
Capten wa Ghalunyangu akipokea mipira kutoka kwa mgeni Rasimi staff Pughi. |
mabingwa wa ligi hiyo Mangua fc baada ya ushidi wa bao 3-2 wakipokea Jezi,mipira na kombe |
0 Comments