KEKI YA MIAKA SITA YA STANDARD RADIO FM 90.1 SINGIDA ILIVYOKATWA (picha na matukio)

Keki Mbili maalum kwaajili ya miaka 6 ya Standard Radio fm sambamba na siku ya kuzaliwa Mkurugenzi wa Standard  Bw James Daudi.
Mkurugenzi wa Radio Standard Fm Bw James Daudi akionea na wageni waalikwa mbele ya mgeni rasimi mkuu wa wilaya ya Iramba.
Mkurunge wa Standard Radio akimkaribisha mgeni Rasimi Mkuu wa wilaya ya Iramba  Emmanuel Luhaula .
Mkuu wa wilaya ya Iramba Emmanuel Luhaula akiongea na waalikwa katika hafla fupi ya maadhimisho hayo ya miaka sita ya Standard fm 90.1 Singida
Katibu tawala wilaya ya Singida Wilson Shimo alipata fusla ya kuongea na  kutoa maoni yake kwa uongozi wa Standard fm.




Kurugenzi wa KBH HOTEL Bw Katala akilishwa keki maaalum .

MR&MR James Jaffet Daudi wakila keki ya siku ya kuzaliwa  na miala 6 ya Radio Standadar Fm.
Immani Musigwa Meneja wa Radio akilishwa keki na mkurugenzi wake.

Moja wa mtoto aliyezaliwa siku hiyo James Gwagilo akimlisha mtoto mwenzake.





Wakwanza kushoto ni Teddy Mande,Man Polta watangazaji wa kipindi cha regge vibe kila jumapili wakibadilishana mawazo huku Tizzo na Dj Dotto katika moja na mbili.
Producer na Move Director Denlove akifaya yake katika camera.
Mama P mwigizaji nguli wa Filamu mkoani Singida akionyesha taaluma yake.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments