Kingongozi wa jumuiya ya Ithinashiria mkoa wa Singida Abdur karimu Nkusui akitoa msaa katika wodi ya wazazi . |
Waumini wa jumuiya hiyo wakichangia damu. |
Nikilele cha kumbukumbu ya kifo cha Imamu husein ikiwa ni waumini wa dini ya kiislam nchini wanaadhimisha kifo chake. |
Katika kuadhimisha siku ya kifo cha Imamu Husein waislam
wote nchini kupitia jumuiya wanaazimisha kwa kutembelea wagonjwa na shughuli za
kijamii.
Akiongea baada ya kutembelea wagonjwa katika Hospitali ya
Rufaa ya Mandewa mjini Singida.
Kiongozi wa Jumuhiya ya Dini ya Kisla ya TANZANIA ITHINASHARIYYAH COMMUNITY mkoa
wa Singida Abdul Karim Juma Nkusui anaelezea shughuli zitakazo fanyika katika
maadimisho hayo.
Nae Shehk wa mkoa wa jumuhiya hiyo ya TANZANIA ITHINASHARIYYAH COMMUNITY Shekh Iddi Tibaijuka anafafanua
juu ya zawadi zilizotolewa kwa kwaajili ya wagongwa hao.
0 Comments