|
Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Pascas Muragiri akimpokea waziri makamba alipowasili katika ofisi kwake |
|
Katibu tawala wa mkoa wa Singida Dr Angelin Lutambi akisalimiana na Waziri makamba . |
|
Viongozi wa chama na serilaki wakiwa katika mkutano na waziri Makamba |
|
Dr Rehema Nchimbi akimaribisha waziri Makamba katika kikao maaalum mjini Singida baada ya kuwasili. |
|
Waziri Makamba akiongea na viongozi mbalimabli katika ukumbi wa Halmashauri ya Singida pembeni ni mkuu wa wilaya ya Singida Bw Pascas muragiri. |
|
Waziri Makamba alipotembelea Ziwa Singidani na kuongea na wakazi wa eneo hilo juu ya uhitaji wa upandaji miti hapo akipata ufafanuzi kutoka kwa kaimu mkurugenzi na afisa aridhi wa manispaa ya singida. |
|
Mkuu wa wilya ya Singida Bw Pascas Muragiri akitolea ufafanuzi jambo falani. |
|
wapili kulia ni diwani wa kata ya Kindai Mh Ommary Kinyeto na wakwanza kushoto ni Mh Valerian Kimambo waziri Mkamba alipotembelea Ziwa Kindai. |
Waziri wa Nchi ofisi ya
makamu wa Raisi Mazingira na Miundombinu Mh January Mkamaba ameanza ziara ya
siku tatu na kuongea na viongozi mbali mabali wa chama na serikali baada ya
kukutana na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema nchimbi.
Mh makamba amefafanua sharia mbali
mabli za mazingira huku akitolea mifano baadhi ya vipengele vinavyoleta mkanganyiko
kwa jamii.
Wadau na viongozi wa ngazi
mbalimabli walipata fulsa ya kuuliza maswali juu ya seheria hizo.
Aidha Mh Makamba ametembelea
maeneoa ya Ziwa Singidani na Kindai.
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments