MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA KATI SINGIDA NA DODOMA 201

Naibu waziri wa Kilimo na mifugo Abdala Ulega na mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Binith Mahenge wakikagua banda la  wilaya ya Iramba mkoa wa Singida na Kujionea samaki mkubwa aliyekaushwa kiustadi.


Naibu waziri wa kilimo na uvuvi akipata maelezo kutoka kwenye banda la kampuni binafsi ya umeme wa jua na kilimo cha umwagiliaji ya  Simusolar. 

 
Nikatika banda la Kongwa lunch linalojiusisha na ufugaji wa Ng'ombe wa nyama,maziwa ,mbuzi n.k huyu ni farasi binti mwenye umri wa miaka 2.
Tukio kubwa lilikuwa ni mashindano ya wanyama mbalimbali wa kufugwa  Ng'ombe,mbuzi,kondoo,mbwa  nk 












Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments