|
Bw Joshua Lisu Ntandu mtendaji mkuu wa shirika la ESTL akifungua semina |
Semina elekezi ya kujenga uwezo wa kamati za uhamasishaji kutokomeza ukeketaji kutoka vijiji na kata za mradi , Halmashauri ya wilaya ya singida iliyoandaliwa na shirika binafsi la EMPOWER SOCIETY TRANSFORMLIVES (ESTL) lenye makao yake mjini singida.
semina hiyo imrfanyika mjini singida katika Hotel ya Singida Motel na kukutanisha washiriki kutoka vijiji na kata ya Mgori,Itaja,Uhandi na Ntonge .
|
Dr Getrud .L. Mughambe kutoka wilaya ya Singida akifafanua jambo juu ya namna mwanamke anavyo pata matatizo wakati wa kujifungua kwa mwanamke aliyekeketwa. |
|
Baada ya kupata elimu kutoka kwa wataalamu mbalimbali washiriki walipata fulsa ya kuunda makundi kwaajili ya kujiwekea mikakati. |
|
Bw Yelemia Yohana kutoka ESTL akitoa ufafanuzi juu ya mpango mkakati wa kutokomeza tatizo hilo la ukeketaji wilaya ya singida. |
|
Mratibu wa mradi kutoka ESTL Bw Emmanuel Stefano akitoa ufafanuzi kabla ya kuhitisha semina hiyo ya siku moja. |
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments