Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia
Suluhu Hassan amewasili Mkoani Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe
Chiku Gallawa katika uwanja wa Ndege wa kimataifa Songwe mapema leo asubuhi ili
kuanza ziara ya kikazi ya siku tano.
0 Comments