Jana Saa nne usiku msafara mzima wa kumpeleka mtoto Antony shule kutoka kijiji cha Ngudus wilaya ya Ngara Mkoani Kagera ukiongozwa na mkurugenzi wa wilaya ya Ngara Aidan Bahama Afisa maendeleo ya jamii na mwandishi wa habari za uchunguzi Shabani Nyamukama kutoka mkoa wa Kagera. Nilipokutana na mtoto huyo alionekana kuwa mwenye furaha na bashasha ya kusafiri kwenda shule Antony ameniambia kuwa ajawi kusafiri hata siku moja. |
0 Comments