JIKO BANIFU LINAPUNGUZA MATUMIZI YA UKATAJI MITI HOVYO VIJIJINI


Mama Rebeka Azaeli akifurahia Jiko Banifu linalotumia kuni chache na  mapishi ya haraka bila macho kuwamekundu kwasababu moshi wote unatoka nje ya jiko. 
Eneo moshi unapotokea nje ya jiko.
Ezaeli Hamisi ni mmoja ya mwanakijiji wa kata na kijiji cha Merya wilaya ya Singida vijijin aliyepata mafunzo kutoka Shirika la INADES namna ya ujenzi wa JIKO BANIFU na kutoa elimu hiyo hapo kijijini Merya.
Patrick Lameck Mbanguka Mratibu na mwalimu kutoka shirika la INADES lenye makaomakuu mjini Dodoma (0754043780)
Mkuuwa wilaya ya Singida Elias Tarimo akipata maelezo juu ya matumizi ya jiko hilo BANIFU baada ya kujionea namna linavyo saidia kinamama kutokuwa na machomekundu.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments