BASI LA MOHAMDE TRANS BAADA YA KUPATA AJALI

Basi la kampuni ya Mohamed Trans lililokuwal inatokea Tanga kuelekea Shinyanga lilipofika eneo la kijiji cha Mseko,kata ya Mgongo ,tarafa ya Shelui, wilaya ya Iramba barabara kuu ya Singida /Nzega, basi hilo Scania T.768 AWJ liligonga lori lenye namba ya usajiliB.6705A semi  Traillerna na kusabaisha vifo vya watu watatu na mejeruhi watano.





Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments