INADES FORMATION TANZANIA INAVYOENEZA MBINU BORA ZA KILIMO CHA MAHINDI NA MTAMA SINGIDA


Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo akikagua shamba la Mbegu  kata ya Merya.



Bw Lameck Mbanguka mratibu kutoka INADES








Awamu ya kwanza ya kwanza ya mafunzo 2012-2016 takwimu za awali zilionesha kuwa wakulima wengi walikuwa wanavuna kati ya gunia 3 hadi 4 kwa ekari za mazao ya chakula Mahindi na n Mtama . Hii ilifanya wakuliam wengi kutokuwa na uhakika wa chakula na hali duni ya maisha.

Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa kueneza mbinu bora za kilimo kutoka INADES formation Tanzania Bw Patrick Lameck wakati wa maadhimisho ya mafunzo yaliyofanyika kata na kijiji cha Merya wilaya ya Singida Dc na kuhitimishwa na mkuu wa wilaya Bw Erias Tarimo.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments