MWONEKANO WA SASA STEND KUU YA MABASI YA MISUMA SINGIDA

Katika Stend kubwa na nzuri hapa nchini mojawapo ni hii ya Misuna Singida Mjini tazama mwonekano wake kwa sasa kabla ya kukamilika inasadikiwa itakuwa na uwezo wa kupokea mabasi ya abiria yatokayo ndani ya nchi na nje ya nchi zaidi ya 100 kwa siku huku vyumba au maduka na ofisi za mawakala zikiongezeka pamoja na huduma bora ya kijamii.
viti vya wasafiri 


mwonekano wa barabara za ndani ya stendi 





makatapila yakiwa kazini.

baadhi ya maeneo la ofisi za mawakala wa mabasi pamoja na kituo cha polisi.

lango kuu la kutokea mabasi baada ya kukaguliwa .


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments