MKOA WA SINGIDA WAANZA PROGRAM YA KUKUZA RIADHA

Mlezi wa riadha mkoa wa Singida Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu wakati akiojiwa na kipindi cha michezo STANDARD RADIO mijini Singida.


Mkoa wa singida umeanzisha program maalum ya kukuza riadha ili kupata wanariadha watakao wakilisha mkoa ngazi ya kitaifa na kimataifa, akiongea ofisini kwake mlezi wa chama cha riadha mkoani singida mkuu wa wilaya ya Ikungi na kaimu mkuu wa wilaya ya Singida  Bw Miraji Mtaturu amesema kuwa lengo ni kuibua na kukuza mchezo huo kwani singida inatoa wanariadha wengi hapa nchi.

wakati huo huo

Baada ya kufanya vyema na kutoa wanariadha jr wane katika mashindano yaliyo fanyka hivi karibuni mkoani kilimanjaro, mkoa wa Singida na Dar umepewa fulsa ya kuandaa mashindano ya kutafuta wanariadha  u17 mashindano hayo yatafanyika katika viwanja vya MWENGE SEKONDARI kuanzia tarehe 4/3/2017.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments