MADIWANI SIMAMIAENI MAPATO YA NDANI

Meya wa manispaa ya singida Mh Mbua Chima awataka madiwani kuunga mkoni jitiada zinazofanywa na mbunge wa jimbo la Singida mjini Mussa sima kwa ujenzi wa madarasa ya kidato cha 5,6. 
Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Bravo kizito amewataka madiwani wote kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani katika kata zao, juku hilo sio la manispaa peke yake bali ni letu sote sambamba na kufanya usafi kila siku ya jumatano na jumamosi.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments