|
Mbunge wa Singida Musa Sima akizungumza na wananchi wa kata ya Mungumaji. |
Serikali imetenga bil 2 kwaajili ya mradi wa maji mkubwa Mungumaji na Kisasida kauli hiyo imetolewa na mbunge wa jimbo la Singida mjini wakati akijibu swali katika mkutanao uliyofanyika katika ofisi za kata Mungungumaji Mh Musa sima anaendelea na ziara katika kata za manispaa ya Singida ikiwania kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyatatua.
|
baadhi ya wanachi wakimsikiliza mbunge na kuuliza maswali.
|
|
Hamisi hassan mtipa akiuliza swali juu ya uhaba wa kituo cha Afya. |
|
baada ya kumaliza mkutano mh Musa sima akiagana na wanachi waliyofika katika mkutano huo.
|
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments