TAASISI YA TANZANIA SPOTS CONNECTION AND EVOLUTION (TSCE) YAZINDULIWA SINGIDA

Mwasibu mkuu waTANZANIA SPOTS CONNECTION & EVOLUTION (TSCE) Elly mguma katikati na kulia ni afisa michezo wa manispaa ya singida Sam mwaikenda na kushoto ni katibu wa chama cha soka wilaya ya Singida Hamisi Kitila wakisaini mikataba ya uzinduzi wa program ya taasisi hiyo.

Katibu wa chama cha soka wilaya ya Singida mjini  Hamisi kitila akifafanua ujio wa taasisi hiyo.


 
Mkurugenzi mkuu wa TSCE Amani mwaipaja akielezea mipango ya taasisi hiyo mbele ya wanahabari katika ofisi za SIREFA  chama cha soka mkoa wa Singida.
watendaji wa kuu wa taasisi hiyo

taasisi hiyo imejikita katika michezo yote ikiwemo soka,riadha,mpira wa kikapu,wavu,net bali na basket n.k

Mwandishi wa habari Elisante John wa CLOUDS FM akiuliza swali kutaka kujua jambo flani juu ya kazi za taasisi.

Hii ni fomu ya kujiandikisha katika mafunzo ya awali ya soka  ambapo fomu hizo zinapatikana STANDARD RADIO,OFISI YA SIDIFA 0755854314,STEND MPYA 0754505066.

Baada ya shughuli nzima ilifika wakati wa kupata picha ya pamoja.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments