STEND MISUNA YAANZA NA USHINDI LIGI YA MKOA WA SINGIDA

Viongozi mbalimbali wa wilaya ya Manyoni wakishuhudia mtanange wa kutafuta bingwa wa mkoa  wa Singida 2017/18 katika fainali zinazofanyika katika dimba la Jumbe katikati mwenye tai nyekundu ni mgeni rasimi mkuu wa wilaya ya Manyoni Godfrey mwambe
mwamuzi mkongwe wa ligi kuu Sara Bongi akitoka uwanjani sambamba na wasaidizi wake kwa nyuma ni Amani mwaipaja.



Bingwa mtetezi timu ya Stend misuna ili shinda bao 1-0



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments