WIKI YA USAFI LEO FEB 25 SINGIDA MANISPAAA

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Bravo lyapimbile (Kizito) akisimamia zoezi la usafi katika soko la Msufini ikumbukwe kuwa kila wiki ya pili ya mwezi zinafanyika shughuli za usafi kwa kila manispaa.
Diwani wa kata ya Muhanga Valelian kimambo akishiriki kikamilifu katika zoezi hilo la usafi.

Mkurugenzi wa manispaa Blavo kizito akitoa maelekezo .







Mwonekano wa Ghuba la soko ya MSUFINI kwanyuma ambapo kuna stend ya mabasi yaendayo Iramba,Igunga,Nzega n.k

Jamaa mmoja akizoa taka kwa mikono mitupu bila kinga mikononi hii ni hatari



wafanyakazi wa manispaa 






Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments