NJOMBE MJI YAPANDA LIGI KUU 2016/17


Njombe Mji imeifunga Kurugenzi kwa mabao 2-0 katika mechi ya Uwanja wa Wambi mjini Iringa na kufanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara.

Ushindi huo, unaifanya Njombe Mji iungane na Lipuli ya Iringa na Singida United kwenda Ligi Kuu Bara.

Njombe Mji imefikisha pointi 22 na kujihakikisha kuanza kuonja utamu wa Ligi Kuu Bara, msimu ujao.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments