BRAC NA MAENDELEO SINGIDA WAZINDUA TAMASHA LA MICHEZO KWA WANAFUNZI

Meneja wa kanda yakati wa Brack maendeleo Tanzania na mgeni rasimi Mh Elias Tarimo wakifuraia jambo katika uzinduzi wa tamasha la michezo lililoandaliwa na Brack kwaajili ya wanafunzi kutoka Manyoni na Singida manispaa.
Mratibu wa kutoka Brack Shangwe mgogo akiwakaribisha wageni kabla ya mgeni rasimi.
Mkuu wa wilaya ya Singida Elias Tarimo akizindua michezo hiyo iliyofanyika katika viwanja vya sekondari ya Mwenge Singida mjini.





wanafunzi wa Manyoni wakitoa burudani mbele ya mgeni rasimi.





Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments